RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU,AKUKUTANA NA BAADHI YA ASKARI USALAMA BARABARANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU,AKUKUTANA NA BAADHI YA ASKARI USALAMA BARABARANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri mkuu Mama Mary Majaliwa walipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na mmoja wa  Masista wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia hiyo kufutia ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018.Wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.
 Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Janeth Magufuli akipewa mkono wa pole na Parok... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More