RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MBUNGE WA VITI MAALUMU GEITA VICKY KAMATA NA DADA WA MKUU WA MKOA WA PWANI DKT. EVARIST NDIKILO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MBUNGE WA VITI MAALUMU GEITA VICKY KAMATA NA DADA WA MKUU WA MKOA WA PWANI DKT. EVARIST NDIKILO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa wameungana na familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata (wa tatu kushoto) ambaye pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kulia) kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (anayepeana naye mikono) kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa m... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More