RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA USALAMA WA TAIFA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA USALAMA WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alipomtembela Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6,2018.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, wakati wanaagana mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6,2018.---Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Desemba, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Apson Mwang’onda, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baada ya mazungumzo hayo Bw. Apson Mwang’onda amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa kukubali ombi lake la kumuona na kuzungumza naye na amempongeza kwa uongozi mzuri unaochochea kasi ya maendeleo hususani katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo.
Bw. Apson Mw... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More