RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAJENGO MAPYA YA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAJENGO MAPYA YA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMASehemu ya majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Ambayo yamefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Aprili 13,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Aprili 13,2019. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Ma... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More