RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019Umati wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatuhutubia katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani RukwaSehemu ya Wananchi wa Sumbawanga waliohudhuria mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mande... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More