RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI ISRAELI, WATAALAMU MBALIMBALI PAMOJA NA MADAKTARI WAWILI KUTOKA NCHINI MAREKANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI ISRAELI, WATAALAMU MBALIMBALI PAMOJA NA MADAKTARI WAWILI KUTOKA NCHINI MAREKANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wataalamu mbalimbali wa Afya wakiwemo Madaktari bingwa wa Moyo kutoka nchini Israeli, pamoja na Madaktari wawili kutoka nchini Marekani, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa mgongo ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Upasuaji Ubongo kutoka Hospitali ya Weil Cornell New York nchini Marekani  Profesa Roger Hartl mara baada ya Mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa mgongo ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Upasuaji Ubongo kutoka Hospitali ya Weil Cornell New York nchini Marekani  Profesa Roger Hartl akizungumza katika kikao kilichowajumuisha Wataalamu mbalimbali wa Afya wakiwemo Madaktari bingwa wa Moyo kutoka nchini Israeli, pamoja na Madaktari wawili kutoka nchini Marekani, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanza... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More