RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara alipowasili leo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza  Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mr... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More