RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI (TEC) ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI (TEC) ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga (wa pili kushoto), Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla (kulia) na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima (kushoto) viongozi hao wapya wa kanisa Katoliki walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga baada ya kukutana naye pam... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More