RAIS DKT. MAGUFULI ANAYAFANYA YOTE KWA NIABA YETU WATANZANIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI ANAYAFANYA YOTE KWA NIABA YETU WATANZANIANa Emmanuel J. Shilatu.
Watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele kwani Mwenyezi Mungu ametupenda zaidi kwa kutupatia Rais John Magufuli ambaye ukitazama matendo, kauli na maisha yake yanaonyesha amejitoa kwa ajili ya Watanzania.
Dkt. Magufuli ni Rais wa kipekee ambaye amekataa kabisa kupanda ndege kwenda safari za kimataifa nje ya nchi na badala yake amewaachia wengine na yeye ameamua kujikita kutatua matatizo ya Wananchi. Katika hili Watanzania tumepata faida ya kupata Rais anayetumia vyema kodi zetu na si kuzifuja pia matatizo kumalizwa na maendeleo kupatikana kwa uharaka.
Ni Rais Magufuli huyu huyu ameamua kuthibiti rasilimali zetu ili ziwanufaishe Wananchi na si wajanja wachache. Rais Magufuli ameamua kuzuia usafirishwaji wa mchanga wa madini nje ya nchi, kujenga ukuta wa Mererani, kuzuia uchimbaji holela wa madini hali iliyozaa vita vya kiuchumi baina yetu na wale waliozoea kufaidi rasilimali za Taifa. Haya yote anafanya kwa niaba yetu Watanzania.
Bado wapo baadhi ya Watu w... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More