RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA DOMINIKA YA TANO YA PASAKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA DOMINIKA YA TANO YA PASAKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Mei 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto ambaye ni muumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada Kanisani hapo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto ambaye ni muumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada Kanisani hapo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro mara baada ya Ibada katika... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More