RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA SIMBACHAWENE NA BASHE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA SIMBACHAWENE NA BASHE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. George Simbachawena kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela akiwalisha viapo vya maadili ya viongozi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Kilimo, baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Hussein Bashe baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More