RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA, ASHUHUDIA AIRTEL WAKITOA SHILINGI BILIONI 3 KAMA FIDIA NA DOLA MILIONI MOJA MCHANGO BINAFSI WA MWENYEKITI WA AIRTEL - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA, ASHUHUDIA AIRTEL WAKITOA SHILINGI BILIONI 3 KAMA FIDIA NA DOLA MILIONI MOJA MCHANGO BINAFSI WA MWENYEKITI WA AIRTEL

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara  Kichere Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu

Juni 10, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara  Kichere Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na waalikwa akishuhudia Jaji mstaafu, Harold Nsekela ambaye ni... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More