RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA, ASHUHUDIA AIRTEL WAKITOA SHILINGI BILIONI 3 KAMA FIDIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA, ASHUHUDIA AIRTEL WAKITOA SHILINGI BILIONI 3 KAMA FIDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Kichere Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Kichere Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na waalikwa akishuhudia Jaji mstaafu, Harold Nsekela ambaye ni Kamishna wa Maadili, Sekretariet... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More