RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitelemka kutoka katika ndege aina ya Bombadier ya ATCL alipowasili Uwanja wa Ndege wa Mtwara tayari kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius NyerereRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Mji wa Mikindani waliokuwa wakisherehekea Siku ya Mikindani katika tamasha kubwa la utamaduni la Urithi wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius NyerereRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Uwanja wa hedge wa Mtwara Bw. Jackson Elia baada ya kushuka kutoka katika ndege aina ya Bombadier ya ATCL mara tu alipowasili tayari kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More