RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI ZA WILAYA YA TANGANYIKA MKOANI KATAVI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI ZA WILAYA YA TANGANYIKA MKOANI KATAVI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ramani ya majengo ya hospitali ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wakati akipewa maelezo na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo katika eneo la mradi huo wa ujenzi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa mkoa wa Katavi, Wabunge pamoja na Mawaziri, akivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Hospitali za Wilaya ya Tanganyika, Mlele na Mpimbwe mkoani Katavi mara baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo mpya ya Tanganyika.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Salehe Mhando mara baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Tanganyika. PICHA NA IKULU.Copyright 200... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More