RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE ZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA UWANJA WA NDEGE WA KIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE ZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA UWANJA WA NDEGE WA KIA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Rada mbili za kuongozea Ndege katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere na Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa KIA katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Viongozi wengine kwenye picha ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe, Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini Fredrick Clavier  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Rada mbili za kuongozea Ndege katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere na Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa KIA katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More