RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE ZA ATCL KUTOKA DAR KWENDA MPANDA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE ZA ATCL KUTOKA DAR KWENDA MPANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati akiondoka kuelekea mkoani Dodoma kwakutumia usafiri wa shirika la ndege la ATCL mara baada ya kumaliza ziara yake Mpanda mkoani Katavi.Ndege ya ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda mkoani Katavi huku ikimwagiwa maji (water salute)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono vikundi vya ngoma na kwaya vya Mpanda mkoani Katavi kabla yakuzindua safari za Shirika la ndege la Tanzania ATCL kutoka Dar kwenda Mpanda mkoani Katavi leo tarehe 12/10/2019. PICHA NA IKULU.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More