RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KYAKA, RWAMISHENYE, KEMONDO NA MULEBA WAKATI AKITOKEA KARAGWE MKOANI KAGERA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KYAKA, RWAMISHENYE, KEMONDO NA MULEBA WAKATI AKITOKEA KARAGWE MKOANI KAGERA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Rwamishenye wakati akitokea Karagwe mkoani Kagera . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakati akielekea Chato mkoani Geita.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Muleba Mjini mkoani Kagera wakati walipokuwa wakielezea changamoto  mbalimbali zinazowakabili. Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape akiwa pamoja na wananchi wa Rwamishenye wakifurahia wakati wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama katika eneo hilo na kuwasalimu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape katika eneo hilo la Rwamishenye wakati akielekea Chato mkoani Geita.
... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More