RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI A UNGUJA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI A UNGUJA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Kinga Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed, baada ya kuweka jiwe la Msingi Kituo hicho cha Afya kilichojengwa na Mradi wa Tasaf na Nguvu za Wananchi wa Shehia ya Kianga,wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Magharibi A Unguja leo. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Kinga Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed, (katikati) anayefuata ni Daktari Dhamana Wilaya ya Magharibi A Unguja. Dkt.Amina Hussein, na wa mwisho Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  Haji Omar Kheri. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akipanda mti wa muembe katika eneo la Kituo cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja baada ya kuweka jiwe la msingi leo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza l... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More