RAIS DKT. SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA MJINI NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MNARA WA TANGI LA MAJI KILIMANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA MJINI NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MNARA WA TANGI LA MAJI KILIMANI

MNARA wa Tanki la Maji Safi na Salama linalojengwa katika eneo la Mnara wa Mbao Kilimani Zanzibar, likiendelea na ujenzi wake, lililowelkwa jiwe la Msini leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya hiyo.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wajenzi wa Kampuni ya Stecol kutoka China wanaojenga Mnara huo wa Tangi la Maji katika eneo la Mnara wa Mbao Kilimani Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Mradi ya Ujenzi wa Tanki Jipya la Maji linalojengwa Mnara wa Mbao Kilimani Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mnara wa Tanki la Maji Safi na Salama katika eneo la Kilim... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More