RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI NA MSINGI BWEFUM WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI NA MSINGI BWEFUM WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuifungua Skuli ya Seokndari na Msingi ya Bwefum Wilaya ya Magharibi B Unguja kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzio ya Amali Zanzibar Mhe. Rizi Pembe Juma,Skuli hiyo imejengwa na Kampuni ya Union Property Developers Ltd, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Kisasa ya Sekondari na Msingi ya Bwefum, Wilaya ya Magharibi B Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuwahutubia Wananchi na kuifungua rasmin Skuli hiyo.(Picha na... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More