RAIS DKT. SHEIN ATUNUKU NISHANI ZA MAPINDUZI NA UONGOZI ULIOTUKUKA VIWANJA VYA IKULU ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. SHEIN ATUNUKU NISHANI ZA MAPINDUZI NA UONGOZI ULIOTUKUKA VIWANJA VYA IKULU ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma kitabu cha Orodha ya Viongozi na Wananchi wanaotunukiwa Nishani katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi Mhe. Omar Ramadhan Mapuri, hafla hiyo ya kutunuku Nishani ilifanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishaji ya Vikundi vya Uhamasishaji wa Bendi ya Safari Trippers ya Marehemu Marijan Rajab, akipokea Mwakilishi wa Familia Ndg Ismail Issa Michuzi, alikuwa Katibu na Mpiga Trumpet Dar International, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishaji ya Utumishi Uliotukuka Mwakilishi wa Marehemu Mussa Haji Foum, alikuwa Mwandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali vya Redio. ak... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More