RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA AL NAKHIL YA DUBAI IKULU ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA AL NAKHIL YA DUBAI IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Nakhil ya Dubai, Sheikh. Ali Rashid Lootah, akiwa na Ujumbe wake,Mohammed Rashed na Masoud Mbarouk, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar, leo 3/12/2018.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai, Sheikh.Ali Rashid Lootah, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 3/12/2018.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Al Nakhil ya Nchini Dubai, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo.Sheikh. Ali Rashid Lootah,kulia kwa Sheikh.Ali ni Ndg.Mohammed Rashed.(Picha na Ikulu). 
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameikaribisha Kampuni ya Al Nakhil kutoka nchini Dubai kuitumia fursa ya kuja kuekeza hapa ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More