RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, 22-5-2019. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mohammed Aboud Mohammed, akiwasilisha maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi wa Julai 2018 hadi March 2019 wa Wizara yake uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo.22-5-2019 kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Waziri Mhe. Mihayo Juma N'hunga. WATENDAJI wa Idara za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg.Seif Shaban Mohamed,akiwasiliza ripoto ya Matumizi na Mapato ya Ofisi ya Makamu wa Pili ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More