RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SMZ PEMBA AKIWA KATIKA ZIARA YAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SMZ PEMBA AKIWA KATIKA ZIARA YAKE

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Watendaji wa SMZ Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Kiwanda cha Mafuta ya Makonyo Wawi Pemba, kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Haji Omar Kheri.mkutano huo umefanyika leo wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Watendaji wa SMZ Kisiwani Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Mafuta ya Makonyo Wawi Pemba, kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Issa Haji Gavu, Mke wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein na Mshauri wa Rais Pemba.Mhe. Maua Abeid Daftari.(Picha na Ikulu)WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More