Rais Donald Trump asema Jaji Kavanaugh alilengwa kisiasa - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Donald Trump asema Jaji Kavanaugh alilengwa kisiasa

Rais wa Marekani Donald Trump, amemuomba radhi kwa niaba ya raia wa Marekani Jaji mpya wa Mahakama ya upeo Brett Kavanaugh, kwa kile alichokiita kwamba ni kampeni chafu za kisiasa zilizolenga kuharibu sifa binafsi ya Brett, kutokana na mambo ya uzushi na uongo. Trump ameyasema hayo katika sherehe za kuapishwa kwa jaji huyo mkuu wa


Source: Kwanza TVRead More