Rais Kabila akaa pembeni, nafasi yachukuliwa na Waziri wake - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Kabila akaa pembeni, nafasi yachukuliwa na Waziri wake

VYAMA vinavyounda Muungano wa Common Front for Congo (FCC) umemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Emannuel Shadari kuwa mrithi wa Rais Joseph Kabila. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Uamuzi huo umekuja baada ya muungano huo kufanya kikao cha dharula hapo jana mjini Kinshasa ambapo walilipitisha jina la Shadari kugombea kiti cha urais ...


Source: MwanahalisiRead More