Rais Magufuli afungua mradi wa uboreshaji huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira Rukwa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli afungua mradi wa uboreshaji huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia walioshika utepe, Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, Waakilishi wa Umoj wa Ulaya nchini (EU) Waakilishi wa Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) akifungua mradi wa uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa. Sehemu ya Miundombinu ya uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo mjini Sumbawanga.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha ya kuchorwa yenye taaswira yake wakati akiondoka katika uwanjawa Nelson Mandela mara baada ya kuwahutubia wananchi.PICHA NA IKULU... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More