Rais Magufuli afunguka sababu za kumtumbua January Makamba ‘Suala la mifuko ya plastiki lilichukua miaka minne, Halikutekelezwa’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli afunguka sababu za kumtumbua January Makamba ‘Suala la mifuko ya plastiki lilichukua miaka minne, Halikutekelezwa’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 22, 2019 amemuapisha Waziri wa Mazingia na Muungano, Mhe. Simbachawene na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe.Rais Magufuli akiongea baada ya viapo hivyo, Ameeleza pia sababu za kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa wizara ya Ofisi Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba.


The post Rais Magufuli afunguka sababu za kumtumbua January Makamba ‘Suala la mifuko ya plastiki lilichukua miaka minne, Halikutekelezwa’ (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More