Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti SADC, awatoa hofu wanachama - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti SADC, awatoa hofu wanachama

RAIS John Magufuli leo tarehe 17 Agosti 2019 amekabidhiwa rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dk. Magufuli amekabidhiwa kijiti hicho na Rais wa Namibia, Dk. Hage Geingob, Mwenyekiti wa SADC aliyemaliza muda wake, katika mkutano wa 39 wa jumuiya hiyo unaondelea katika Ukumbi wa Mikutano ...


Source: MwanahalisiRead More