RAIS MAGUFULI AKUBALI OMBI LA TFF: - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MAGUFULI AKUBALI OMBI LA TFF:

RAIS MAGUFULI AMEKUBALI: Rais Magufuli amekubali ombi la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwakabidhi vijana wa Serengeti Boys Kombe la CECAFA waliloshinda hivi karibuni nchini Burundi, tukio ambalo litaambatana pia na kuikabidhi Simba kombe la ubingwa wa VPL, Jumamosi Mei 19, Uwanja wa Taifa, DSM.Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao ametoa taarifa hiyo leo katika mkutano na vyombo vya habari uliokuwa LIVE  AzamSports2


Source: Sports KitaaRead More