Rais Magufuli amfuta kazi Mkurugenzi Mkuu TISS - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli amfuta kazi Mkurugenzi Mkuu TISS

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Dk. Modestus Kipilimba. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais (Ikulu), jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, tarehe 12 Septemba 2019, imeeleza kuwa nafasi ya Kipilimba imechukuliwa na Kamishena wa ...


Source: MwanahalisiRead More