Rais Magufuli amteua Mwenyekiti mpya wa TANROADS - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli amteua Mwenyekiti mpya wa TANROADS

RAIS John Magufuli amemteua Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Lucas Nyaoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo tarehe 11 Oktoba 2018 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu. “Uteuzi wa Dk. Nyaoro umeanza tarehe 10 ...


Source: MwanahalisiRead More