Rais Magufuli amtumia salamu za rambirambi Bakhresa, Azam Media - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli amtumia salamu za rambirambi Bakhresa, Azam Media

RAIS John Magufuli ameungana na Watanzania kutoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Kampuni zilizo chini ya Azam Media zinazoongozwa na mwenyekti wake Said Salim Bakhresa, kufuatia vifo vya wafanyakazi wake watano. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 8 Julai 2019 na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Rais ...


Source: MwanahalisiRead More