RAIS MAGUFULI ANG’ARA JARIDA LA FORBES - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MAGUFULI ANG’ARA JARIDA LA FORBES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli, ameendelea kukubalika kimataifa baada ya Jarida maarufu Duniani la Forbes kubashiri kwamba ataivusha Tanzania na kuwa nchi yenye kipato cha kati kupitia ajenda yake ya Tanzania ya viwanda chini ya mpango wa maendeleo wa 2025.
Katika jarida hilo la Forbes Afrika la Julai mwaka huu ambalo lilikuwa mahsusi kwaajili ya kelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano na uongozi wa Rais Magufuli kwa ujumla, imeelezwa maono yake kama kiongozi wan chi yameifanya Tanzania kupiga hatua kubwa za maendeleo na inatarajiwa kuwa miongoni mwa nchi chache sana za Afrika zenye maendeleo yanayoonekana na yanayopatikana kwa muda mfupi.
Kwamujibu wa Jarida hilo ambalo limemwelezea Rais Magufuli kama Tingatinga katika kusimamia kile anachokiamini, miongoni mwa mambo makubwa yanayomfanya ang’ae kimataifa ni pamoja na ujenzi wa reli ya kisasa ya standard Gauge SGR, upanuzi wa bandari na ujenzi wa miundombinu ya barabara zinazounganisha nchi nzim... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More