RAIS MAGUFULI AOMBWA KUINGILIA KATI YANAYOENDELEA NCHINI AFRIKA KUSINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MAGUFULI AOMBWA KUINGILIA KATI YANAYOENDELEA NCHINI AFRIKA KUSINI


Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu 
TAASISI tatu nchini Tanzania zisizo za kiserikali wamemuomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)Rais John Magufuli kuingilia kati kutafuta ufumbuzi wa sintofahamu inayoendelea nchini Afrika Kusini.
Wakizungumza leo Septemba 6,2019 , na waandishi wa vyombo vya habari viongozi wa taasisi hizo ambazo ni Action for Change(ACHA), The Right Way(TRW) na Mtandao wa Mashirika ya Kutetea Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika(SAHRINGON) wamesema kuna kila sababu ya viongozi kuchukua hatua ya kukomesha machafuko yanayoendelea Afrika Kusini.
Akizungumza kwa niaba ya taasisi hizo, Martina Kabisama kutoka SAHRINGON amesema kwa pamoja wanatoa mwito kwa Mwenyekiti wa SADC Dk.Magufuli kuchukua hatua za haraka kukomesha ukatili unaofanywa nchini humo dhidi ya watu wa mataifa mengine ya Afrika.
"Wimbi la kushambuliwa kwa watu wanaoitwa wageni si peke linatokea Afrika Kusini, bali pia limetokea katika nchi mbalimbali katika ukanda wetu.Mfano siku... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More