Rais Magufuli aonya wanasiasa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli aonya wanasiasa

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameonya wanasiasa wanaodhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa nyumba za polisi mkoani Geita leo tarehe 15 Julai 2019, Rais Magufuli amewataka wanasiasa kujiepusha na tabia ya kutoa maneno yanayodhalilisha vyombo hivyo. Ameeleza kuwa, wanasiasa hao ...


Source: MwanahalisiRead More