Rais Magufuli Ashiriki Ibada Ya Misa Takatifu Na Kukutana Na Baadhi Ya Askari Wa Usalama Barabarani Ikulu - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli Ashiriki Ibada Ya Misa Takatifu Na Kukutana Na Baadhi Ya Askari Wa Usalama Barabarani Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Askari wa Usalama barabarani (Trafiki),alipopata nao chai ya asubuhi mara baada ya kutoka kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Osterybay Jijini Dar es salaam.Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata chai ya asubuhi na baadhi ya Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) Ikulu Jijini Dar es salaam mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Osterybay Jijini Dar es salaam.Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri mkuu Mama Mary Majaliwa walipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mk... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More