Rais Magufuli atapata lini ‘First Eleven’ ya serikali yake? - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli atapata lini ‘First Eleven’ ya serikali yake?

RAIS John Pombe Magufuli, amemng’oa kwenye wadhifa wake, Kamishena Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere na kumteuwa Edwin Mhende, kushika nafasi yake. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kichere anakuwa Kamishena wa tano wa TRA kung’olewa katika nafasi hiyo, tangu Rais Magufuli kushika madaraka ya urais, Novemba mwaka 2015. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasilino ya ...


Source: MwanahalisiRead More