Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara na Kamishna Mkuu wa TRA - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara na Kamishna Mkuu wa TRA

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 8 Juni 2018 amemtengua Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Joseph George Kakunda na nafasi yake kuchukuliwa na Mhe Innocent Lugha Bashungwa.


Image result for RAIS MAGUFULI AMTEUA


Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua Bw. Edwin Mhede kuwa kamishina mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)


View this post on InstagramRais Dkt.John Pombe Magufuli amefanya Uteuzi


A post shared by Ikulu Mawasiliano (@ikulu_mawasiliano) on Jun 7, 2019 at 10:05pm PDT

The post Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara na Kamishna Mkuu wa TRA appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More