Rais Magufuli atimiza miaka mitatu madarakani, haya ndio mambo makubwa aliyofanikiwa kutekeleza (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli atimiza miaka mitatu madarakani, haya ndio mambo makubwa aliyofanikiwa kutekeleza (+video)

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi leo Novemba 05, 2018, ameelezea mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani miaka mitatu iliyopita.Dkt. Abbasi amezungumzia katika maeneo makubwa 10 ambayo serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kupiga hatua kubwa ikiwemo Miundo Mbinu, Nishati na Usafirishaji.


 


The post Rais Magufuli atimiza miaka mitatu madarakani, haya ndio mambo makubwa aliyofanikiwa kutekeleza (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More