RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA POLE KWA MAJERUHI SITA WA AJALI SIMIYU, WAKIWEMO WAANDISHI WATANO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA POLE KWA MAJERUHI SITA WA AJALI SIMIYU, WAKIWEMO WAANDISHI WATANO

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akikabidhi salamu za pole kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kwa Mwandishi wa habari wa AZAM TV, Bi Rehema Evance ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Septemba 09, 2018 wilayani Meatu, wakati Mhe.Rais akiwa ziarani mkoani humo. Kutoka Kushoto Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw.Jumanne Sagini, Mkuu wa Wilaya ya Meatu, Mhe. Dk t. Joseph Chilongani na Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe. Tano Mwera wakimjulia hali, Mwandishi wa habari wa AZAM TV, Bi Rehema Evance ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Septemba 09, 2018, wakati Mhe.Rais akiwa ziarani mkoani humo.
Na Stella Kalinga, Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa pole kwa waandishi wa habari watano wa Mkoa wa Simiyu na Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dkt. Titus Kamani waliopata ajali katika wilayani Meatu, wakati akiwa ziarani wilayani humo, salamu ambazo zimewas... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More