RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kuhusu uzalendo na kuunga mkono Shirika la Mawasiliano TTCL jijini Dar es Salaam.

Na Paschal Dotto,MAELEZO 
RAIS Dkt.John Magufuli siku 30 Ofisi ya Rais-IKULU, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara pamoja na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kutum kutumia huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Nchini (TTCL)ikiwemo laini, ili kupanua huduma za mawasiliano ya Mtandao wa Kampuni hiyo nchini. 
Akizungumza wakati wa Hafla ya kukabidhi gawio kwa Serikali la Tsh Bilioni 2.1 kutoka TTCL, Rais Magufuli alimtaka Mkurugenzi Mkuu wa TTCL kumuorodheshea nam,ba za simu za Viongozi na Watendaji wote wa Serikali ikiwemo Mawaziri na Makatibu Wakuu kuona kama wanatumia laini za simu za TTCL. 
Aliongeza kuwa tangu atoe agizo lake mwaka jana, kuhusu matumizi ya huduma za mawasiliano ya TTCL katika Ofisi mbalimbali za Umma, hakuna Ofisi yoyote ilitekeleza agizo hilo ukiondoa baadhi y... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More