Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Rais Kenyatta vifo vya watu 50 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Rais Kenyatta vifo vya watu 50

RAIS John Magufuli ametuma salamu za pole kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia vifo vya watu 50 vilivyosababishwa na ajali ya basi la abiria linalomlikiwa na kampuni ya Western Express Sacco Limited, lililokuwa likitokea jijini Nairobi kuelekea Kisumu nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Magufuli ametoa pole hizo katika ukurasa wake wa ...


Source: MwanahalisiRead More