Rais Magufuli avunja Bodi ya Ushauri TEMESA - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli avunja Bodi ya Ushauri TEMESA

RAIS John Pombe Magufuli ameivunja bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa inasema Rais Magufuli ameivunja bodi hiyo leo Jumapili tarehe 23 Septemba, 2018. Bodi hiyo iliyokuwa inaongozwa na Mwenyekiti wake, Brigedia Generali mstaafu Mhandisi Mabula Mashauri ...


Source: MwanahalisiRead More