Rais Magufuli awa kivutio Sauzi, ampiga picha Kikwete, Ramaphosa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Magufuli awa kivutio Sauzi, ampiga picha Kikwete, Ramaphosa

RAIS John Magufuli leo Jumamosi Mei 25, 2019, amekuwa kivutio nchini Afrika Kusini baada ya kugeuki fani ya kupiga picha katika hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo leo, Cyril Ramaphosa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi wa nchini mbalimbali, akiwemo Rais Magufuli na Rais mstaafu wa awamu ya ...


Source: MwanahalisiRead More