RAIS MAGUFULI AZAWADIWA KITABU CHA MWONGOZO WA SALA NA RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI (TEC) ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MAGUFULI AZAWADIWA KITABU CHA MWONGOZO WA SALA NA RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI (TEC) ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dk... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More