RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA KATIKA KANISA KATOLIKI LA MT. PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA KATIKA KANISA KATOLIKI LA MT. PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Mei 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Mei 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto ambaye ni mmoja wa waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada Kanisani hapo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi mara baada ya Ibada kanisani hapo.Rais wa Jamhuri ya Muunga... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More