RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ASIMULIA KILICHOPELEKEA KUANDIKA KITABU CHAKE, KUANZISHA TAASISI YAKE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ASIMULIA KILICHOPELEKEA KUANDIKA KITABU CHAKE, KUANZISHA TAASISI YAKE


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na wadau mbalimbali wa maendeleo kuhusu historia ya maisha yake pamoja na uanzishwaji wa Taasisi ya Dkt Kikwete katika hafla ya iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Inmi Patterson akitoa shukrani kwa mchango pamoja na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Marekani katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka MMG).Sehemu ya wandau mbalimbali wa maendeleo wakiwa katika hafla hiyo.Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mwanzilishi wa Taasisi ya Jakaya Kikwete Dkt. Jakaya Kikwete(kulia) akionyeshwa moja ya Picha na Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara ya Marekani hapa nchini (AMCHAM) Garry Friend (kushoto) iliyotoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania ikiashiria kutambua mchango wa Serikali ya Tanzania.

Na Mwandishi Wetu.
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mwanzilishi wa Taasisi ya Jakaya Kikwete Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa taasisi yake pamoja na kitabu chake cha... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More