RAIS MSTAAFU JK AIHIMIZA TPDC KUONGEZA SPIDI YA UTEKELEZAJI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MSTAAFU JK AIHIMIZA TPDC KUONGEZA SPIDI YA UTEKELEZAJI

Rais Mstaafu wa Awamu na Nne, Mhe. Jakaya Kikwete akipata maelezo mara aada ya kutembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lililopo katika maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.Rais Mstaafu wa Awamu na Nne, Mhe. Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya gari linalotumia mfumo wa gesi.Rais Mstaafu wa Awamu na Nne, Mhe. Jakaya Kikwete ameliasa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kikwete ameyasema hayo alipotembelea viwanja vya Maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
 “Ongezeni kasi ya utekelezaji wa miradi mnayoianzisha ili kuleta tija kwa Taifa na mpunguze michakato” alisema Rais Kikwete. Rais huyo Mstaafu alionyesha kuvutiwa na maelezo mazuri na yenye ueledi yaliyotolewa na watumishi wa TPDC waliokuwa wakitoa huduma bandani hapo.
Aidha Kikwete alitoa changamoto kwa TPDC kuibua miradi mipya yenye tija kwa Taifa na kueleza kwamba miradi mingi iliyopo ni a... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More